Kipuroik

Kipuroik (pia Kisulung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapuroik. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kipuroik imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipuroik iko katika kundi la Kikho-Bwa.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search